Dorothea Mackellar
Mandhari
Isobel Marion Dorothea Mackellar (1 Julai 1885 – 14 Januari 1968) alikuwa mshairi na mwandishi wa hadithi za kubuni kutoka nchi ya Australia.[1] Shairi lake la "My Country" linajulikana sana nchini Australia, hasa ubeti wake wa pili unaoanza na maneno: "I love a sunburnt country / A land of sweeping plains, / Of ragged mountain ranges, / Of droughts and flooding rains."[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kigezo:Cite Australian Dictionary of Biography
- ↑ MacKellar, Isobel Marion Dorothea (Dorothea) (1885–1968), The Encyclopedia of Women and Leadership in Twentieth-Century Australia
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dorothea Mackellar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |