Dorotea de Armas
Mandhari
Dorotea de Armas Curbelo (Alizaliwa tarehe 6 Februari 1899 – Alifariki tarehe 17 Juni 1997) alikuwa mfinyanzi wa Uhispania aliyejulikana kwa kuanzisha vinyago vya jadi vya kiasili vya Visiwa vya Kanari katika michoro na mapambo ya kazi zake za ufinyanzi.[1][2]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Dorotea alizaliwa tarehe 6 Februari 1899 huko Muñique, kijiji kidogo kilichopo karibu na Tinajo huko Lanzarote na alifariki tarehe 17 Juni 1997.[3] Alipata mafunzo yake ya ufinyanzi kutoka kwa mama yake. Alianza kufinyanga udongo na kutengeneza vitu mbalimbali akiwa mtoto katika umri wa miaka 12.[4][5] Pia alijifunza kutoka kwa mama yake jinsi ya kuchagua udongo na jinsi ya kuufanyia kazi ili kutengeneza maumbo mbalimbali.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Biografias de Lanzarote". www.biografiasdelanzarote.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-11. Iliwekwa mnamo 2020-09-19.
- ↑ Senderos isleños – Los novios del volcán (Television production) (kwa Kihispania). RTVE. 5 Machi 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-04. Iliwekwa mnamo 2020-09-19.
{{cite AV media}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Perdomo, Mario Alberto (27 Juni 1997). Adiós a Doña Dorotea (kwa Kihispania). Juz. la 727. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Septemba 2024. Iliwekwa mnamo 15 Septemba 2024.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Coloma Gil, Lirios (16 Januari 1986). "Una vida dedicada a la creación: La Dorotea de Armas: Me "mortifica" enseñar". La Voz de Lanzarote: 12–13. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Septemba 2024. Iliwekwa mnamo 15 Septemba 2024.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Interview of Dorotea de Armas by Canarian folklorist Florián Corujo (‘Chácara y Tambor’ - Tele Volcán) katika YouTube
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dorotea de Armas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |