Doreen Kong
Mandhari
Doreen Kong Yuk-foon (alizaliwa tarehe 12 Julai 1970) ni mwanasheria na mwanasiasa wa Hong Kong.[1]
Alikuwa mwanachama wa Baraza la Kutunga Sheria la Hong Kong kupitia jimbo la Election Committee (constituency)|Kamati ya Uchaguzi akiwa mwanachama huru wa kundi linalounga mkono Beijing nchini Hong Kong.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lau, Chris (2 Novemba 2021). ["Hong Kong elections: securing nominations for Legislative Council poll no easy task, aspiring candidates find". South China Morning Post (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 22) Januari 2022.
{{cite news}}: Check|url=value (help); Check date values in:|access-date=(help) - ↑ ["Hong Kong: Pro-Beijing candidates sweep controversial LegCo election". BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2021-12-20. Iliwekwa mnamo 2022-01-22.
{{cite news}}: Check|url=value (help)](https://www.bbc.com/news/world-asia-china-59717343|access-date=2022-01-22}}[dead link])
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Doreen Kong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |