Doneisha Anderson
Mandhari
Doneisha Anderson (alizaliwa 21 Septemba 2000) ni mwanariadha kutoka Bahama.[1].[2] Alishiriki katika mbio za kupokezana za mita 4 × 400 kwa wanawake katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya mwaka 2020.Pia anashindana katika kiwango cha chuo kikuu akiwakilisha Chuo Kikuu cha Florida.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Doneisha Anderson". Olympedia. Iliwekwa mnamo 5 Agosti 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Athletics: Women's 4 x 400m Relay Results". Tokyo 2020. Iliwekwa mnamo 5 Agosti 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Doneisha Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |