Donald Knuth
Mandhari
Donald Ervin Knuth (alizaliwa Januari 10, 1938) ni mwanasayansi wa kompyuta na mwanahisabati wa Marekani. Yeye ni profesa katika Chuo Kikuu cha Stanford. Yeye ndiye mshindi wa tuzo ya ACM Turing Award ya mwaka 1974, ambayo kwa utaratibu huitwa Tuzo ya Nobel ya sayansi ya kompyuta. Knuth aliitwa "baba wa uchanganuzi wa algorithimu". Anajulikana zaidi kwa mfululizo wake wa vitabu The Art of Computer Programming na kwa kuunda mfumo wa uchapishaji TeX.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Professor Donald Knuth ForMemRS". London: Royal Society. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-11-17.
- ↑ Karp, Richard M. (Februari 1986). "Combinatorics, Complexity, and Randomness". Communications of the ACM. 29 (2): 98–109. doi:10.1145/5657.5658.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Donald Knuth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |