Dominique Mathieu
Mandhari
Dominique Joseph Mathieu, O.F.M. Conv. (alizaliwa 13 Juni 1963) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ubelgiji ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Tehran–Isfahan tangu mwaka 2021.
Ni mwanachama wa Shirika la Ndugu Wadogo Wakonventuali (Order of Friars Minor Conventual). Aliteuliwa kuwa kardinali tarehe 7 Desemba 2024 na Papa Fransisko.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Castellano Lubov, Deborah (6 Oktoba 2024). "Pope Francis announces Consistory for creation of new Cardinals". Vatican News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |