Nenda kwa yaliyomo

Dominick John Lagonegro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dominick John Lagonegro (alizaliwa 6 Machi 1943) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la New York kutoka mwaka 2001 hadi 2018.[1][2]

  1. Woods, John. "'Christ First'". Catholic New York. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-09.
  2. "Testimony of the New York State Catholic Conference Regarding The Death Penalty in New York". United States Conference of Catholic Bishops. 2004-12-15.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.