Nenda kwa yaliyomo

Domingues

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elias Gaspar Pelembe (anajulikana pia kwa jina la Domingues; alizaliwa 13 Novemba 1983 mjini Maputo)ni mchezaji wa soka kutoka Msumbiji anayecheza kama kiungo wa kati katika klabu ya UD Songo na timu ya taifa ya Msumbiji.[1]

  1. Sport, EWN. "Hunt hails team after Wits wrap up maiden league title" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 14 Mei 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Domingues kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.