Domenico Mogavero
Mandhari
Domenico Mogavero (alizaliwa Castelbuono, Palermo, 31 Machi 1947) ni askofu mstaafu wa Mazara del Vallo aliyewahi kuwa mshiriki wa Conferenza Episcopale Siciliana. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Inside the Vatican. Urbi et Orbi Communications. 2000. uk. 104. Iliwekwa mnamo 27 Novemba 2010.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |