Nenda kwa yaliyomo

Domenico Grimani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Domenico Grimani (22 Februari 146127 Agosti 1523) alikuwa mtu wa ukoo wa kiungwana wa Italia, mwanateolojia, askofu na kardinali.

Kama ilivyokuwa desturi kwa wanakanisa wa kizazi chake, Grimani alishika vyeo vingi vya kidini, akihudumu katika nyadhifa na kupata mafao mbalimbali.

Mwanateolojia maarufu Desiderius Erasmus alimtunuku Grimani kwa kumwombea kitabu chake Musica.[1]

  1. Dal Pozzolo, Enrico. Il Fantasma di Giorgione. ZeL Edizioni.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.