Domenico Crescentino Marinozzi
Mandhari
Domenico Crescentino Marinozzi, OFMCap, (21 Novemba 1926 – 19 Julai 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia, mtawa wa Shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini, na mmisionari.
Alikuwa Prefekti wa Kitume, halafu Vika wa Kitume wa Jimbo la Kitume la Soddo, lililoko Soddo, Eneo la Wolayita, Ethiopia, kutoka 1972 hadi 2007.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Grespini, Mauro (23 Julai 2024). "A Loreto l'ultimo saluto a padre Domenico Marinozzi, vescovo missionario dei Cappuccini". Il Settempedano. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Julai 2024. Iliwekwa mnamo 7 Agosti 2024.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Bishop Domenico Crescentino Marinozzi, O.F.M. Cap. †". Catholic-Hierarchy.org. 23 Julai 2024. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Julai 2024. Iliwekwa mnamo 7 Agosti 2024.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |