Domenico Consolini
Mandhari

Domenico Antonio Luigi Pacifico Nicola Baldassare Consolini (7 Juni 1806 – 20 Desemba 1884) alikuwa askofu na kardinali wa Italia, aliyefanya kazi kama mwanadiplomasia wa Ukulu mtakatifu.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |