Domenico Battaglia (kardinali)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Domenico Battaglia (Askofu))
Domenico "Mimmo" Battaglia (alizaliwa 20 Januari 1963) ni askofu wa Kanisa Katoliki wa Italia ambaye amekuwa Askofu Mkuu wa Napoli tangu 2020.
Hapo awali, alikuwa Askofu wa Cerreto Sannita-Telese-Sant'Agata de' Goti kuanzia 2016 hadi 2020. Aliteuliwa na Papa Fransisko kuwa kardinali tarehe 7 Desemba 2024.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Grana, Francesco Antonio (12 Desemba 2020). "Papa Francesco nomina Domenico Battaglia nuovo arcivescovo di Napoli. Il 'Bergoglio del Sud Italia' che assiste i tossicodipendenti". Il Fatto Quotidiano (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |