Nenda kwa yaliyomo

Djanet Lachmet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Djanet Lachmet (alizaliwa 1948) ni mwandishi wa riwaya na mwigizaji kutoka Aljeria.

Djanet Lachmet alizaliwa katika mji mdogo nchini Algeria. Alilazimishwa kuolewa akiwa na umri wa miaka 16, lakini alitalikiana baada ya miezi mitatu. Kwa kuwa alitamani kuwa mwigizaji wa vichekesho, alisoma masomo ya maigizo kwa miaka minne huko Bordj El Kiffan[1]. Kuanzia mwaka 1968 hadi 1972 aliishi nchini Kanada, kisha baadae alihamia Paris kufanya kazi ya uigizaji.[2]

  • Le Cow-Boy. Paris: Belfond, 1983. Ikatafsiriwa katika lugha ya kiingereza na Judith Still kwa jina la Lallia,mnamo mwaka 1987.
  • 'Une Composante de l'underground français', Actualités de l'émigration 80, 11 March 1986
  1. Jean Déjeux (1994). "LACHMET, Djanet". La littérature féminine de langue française au Maghreb. KARTHALA Editions. uk. 231. ISBN 978-2-86537-500-4.
  2. Susan Ireland (1999). "Lachmet, Djanet (1948-)". Katika Eva Martin Sartori (mhr.). The Feminist Encyclopedia of French Literature. Greenwood Press. uk. 297. ISBN 978-0-313-29651-2.

Kusoma zaidi

[hariri | hariri chanzo]
  • Ammar-Khodja, Soumya. 'Djanet Lachmet. Le cow boy & Hafsa Zinaï-Koudil. La fin d'un rêve'. In Christiane Achour (ed.) Diwan d'inquiétude et d'espoir. La littérature féminine algérienne de langue française, ENAG/Éditions, 1991, pp. 390–411
  • Still, Judith 'Body and Culture: The representation of sexual, racial and class differences in Lachmet's Le Cow-boy.' In Margaret Atack & Phil Powrie (eds.) Contemporary French Fiction by Women: Feminist Perspectives, Manchester: Manchester University Press, 1990, pp. 71–83
  • Still, Judith. 'Djanet Lachmet's Le Cow-Boy: Constructing self - Arab and female', Paragraph 8 (October 1986), pp. 55–61