Dj Magowo
Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.
Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu
Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
| Dj Magowo | |
|---|---|
| Jina la kuzaliwa | Rajabu Ramadhani Kafuku |
| Pia anajulikana kama | Dj Magowo |
| Amezaliwa | 1992 09 02 |
| Asili yake | Tabora, Tanzania |
| Aina ya muziki | Bongo Flava |
| Kazi yake | Dj |
| Ala | Sauti |
| Miaka ya kazi | 2008–sasa |
| Studio | Magowo Media |
| Ame/Wameshirikiana na | Dr Lee |
| Tovuti | https://www.djmagowo.rf.gd |
Dj Magowo (jina halisi Rajabu Ramadhani Kafuku, alizaliwa 02 Oktoba 1992) ni msanii wa muziki wa Bongo Flava, mtayarishaji wa muziki, mpiga muziki (kiing. DJ), na mchapishaji wa muziki kutoka Tanzania. Pia ni mmiliki wa blogu djmagowo.blogspot.com na tovuti rasmi djmagowo.rf.gd.
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Dj Magowo alizaliwa katika mtaa wa Ngambo, eneo la Kitete, Tabora Mjini, na kulelewa Kanyenye. Baadaye alihamia na kusomea katika Kijiji cha Ugowola, Kata ya Ufuluma, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora.
Kazi ya muziki
[hariri | hariri chanzo]Akiwa na mapenzi makubwa ya muziki, alianza kazi kama katika Ras Pub By Night. Aidha, alishirikiana na Masessa Francis Kimaro (Director Masesa) katika Angel Studio, Nyihogo, Kahama. Kupitia ushirikiano huu, alisambaza na kusaidia kurekodi nyimbo za wasanii kama Ngobho, Manwali, Kashindye Nsuzi, Juma William, na Nkindo.
Mnamo mwaka 2008 Dj Magowo alirekodi na kuachia wimbo wake wa kwanza unaoitwa Maisha Magumu, akitumia jina la Bob Roja Entertainment. Wimbo huo uliashiria mwanzo rasmi wa safari yake kama msanii wa kurekodi.
Uchapishaji na vyombo vya habari
[hariri | hariri chanzo]Mbali na kazi ya muziki, Dj Magowo ni mchapishaji wa muziki na mmiliki wa blogu djmagowo.blogspot.com pamoja na tovuti rasmi djmagowo.rf.gd, ambavyo hutumika kusambaza kazi zake na habari kuhusu muziki.
Mitindo na ushawishi
[hariri | hariri chanzo]Kazi ya Dj Magowo inaelekea zaidi kwenye muziki wa Bongo Flava na mchanganyiko wa mitindo ya Afrika Mashariki. Amejulikana pia kwa kusaidia wasanii chipukizi kupitia usambazaji wa muziki.
Mtoto wa ugowola kata ya ufuluma wilaya ya uyui mkoani tabora Tanzania anatengeneza Mixtapes N Extended ni hatari rafiki yake na dumenge.
Ni mmiliki wa blogu ya wakaliunitytz.blogspot.com ni mtoto wa ugowola kata ya ufuluma wilaya ya uyui mkoani tabora Tanzania anatengeneza Mixtapes N Extended ni hatari rafiki yake na dumenge huyu mwamba toa maoni yako. Ni mpambanaji sana na mtu mwenye matumaini. Anawakilisha kijiji cha ugowola.
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]Singeli:
- Maisha Magumu (2008)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 16 Novemba 2024 kwenye Wayback Machine.
- Blogu rasmi
- YouTube