Djôrô
Mandhari
Djôrô ni mkoa kusini mwa Burkina Faso. Mkoa huo una eneo la km² 16,202 na idadi ya wakazi mwaka 2024 ilikuwa 986,700[1].
Makao makuu yako mjini Gaoua.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Djôrô kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |