Diyarbakır
Diyarbakır (Kiosmani Kituruki دیاربکر, Diyâr-ı Bekr; Kikurdi ئامهد, Amed; anc. Amida) ni mji mkubwa sana uliopo kusini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika eneo la ukingo wa Mto Tigris, huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Diyarbakır wenye wakazi karibuni milioni 1.5[1]. Wenye lundiko la watu takriban 600,000[1], huu ni mji wa pili kwa ukubwa katika Uturuki ya Kusini-mashariki mwa mkoa wa Anatolia, baada ya Gaziantep.
Marejeo
Viungo vya Nje
- (Kituruki) Governorship of Diyarbakır
- (Kituruki) Diyarbakır Metropolitan Municipality
- (Kituruki) Diyarbakırspor funs, news, informarmation
- (Kituruki) local info
- (Kituruki) Diyarbakır Chamber of Trade and Industry
- (Kituruki) Information on Diyarbakır
- (Kituruki) Diyarbakır news
- (Kituruki) Diyarbakır news
- (Kituruki) Diyarbakır news
- (Kituruki) Diyarbakır Hotels
- Pictures of the City
- Diyarbakır Guide and Photo Album, more, more
- Diyarbakır Weather Forecast Information
37°58′55″N 40°12′38″E / 37.9819°N 40.2106°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Diyarbakır kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |