Nenda kwa yaliyomo

Dirk Uys

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dirk Cornelis "Dirkie" Uys (3 Machi 1823-9 Aprili 1838) alkuwa Voortrekker wakati wa Safari kuu (Great Trek).

Uys alizaliwa Swellendam mwaka 1823, akiwa mwana wa Petrus Lafras Uys na Alida Maria Uys.