Nenda kwa yaliyomo

Dirk Rossmann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dirk Rossmann (Alizaliwa 1946) ni mfanyabiashara bilionea na mwandishi nchini Ujerumani, mwanzilishi wa Rossmann, msururu wa pili kwa ukubwa wa maduka ya dawa nchini Ujerumani. Kufikia Aprili 2024, utajiri wake ulikadiriwa kuwa dola bilioni 4.5[1] . Mwaka 1972, alianzisha duka la kwanza la dawa la kujihudumia nchini Ujerumani[2].

  1. ↑ "Forbes profile: Dirk Rossmann". Forbes. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Erfinder des Drogeriemarkts". Die Welt. 15 Aprili 2012. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dirk Rossmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.