Diomede Falconio
Mandhari
Diomede Angelo Raffaele Gennaro Falconio, O.F.M. (20 Septemba 1842 – 8 Februari 1917) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alikuwa Mkuu wa Idara ya Watawa kuanzia mwaka 1916 hadi alipoaga dunia, na alitawazwa kuwa kardinali mwaka 1911. Alikuwa Balozi wa Papa nchini Marekani kuanzia 1902 hadi 1911.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "To Name Three New Cardinals for America" (PDF). New York Times. 29 Oktoba 1911. Iliwekwa mnamo 12 Novemba 2017.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |