Diogo Dalot

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Diogo Dalot (alizaliwa 18 Machi 1999) ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anayecheza katika klabu ya ligi kuu ya Uingereza Manchester United.

Manchester United[hariri | hariri chanzo]

Diogo Dalot alisaini katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Manchester United mnamo 6 Juni mwaka 2018 katika mkataba wa miaka mitano (5) kwa ada ya £ 19 milioni.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diogo Dalot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.