Nenda kwa yaliyomo

Diogo Amaral

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diogo Maria Mendes Leal Pereira do Amaral (alizaliwa 26 Novemba 1981) ni mwigizaji na mwanamitindo kutoka Ureno anayefanya pia kazi ya kutoa sauti (dubbing) kwa kazi za kigeni katika lugha ya Kireno cha Ulaya.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diogo Amaral kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.