Nenda kwa yaliyomo

Dino Staffa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dino Staffa (14 Agosti 19067 Agosti 1977) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Alihudumu kama msimamizi wa Mahakama Kuu ya Kitume (Apostolic Signatura) kuanzia 1967 hadi kifo chake na alipewa hadhi ya kardinali mwaka huohuo.[1]

  1. "Reluctant Revolutionary". Time. September 24, 1965.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.