Dini nchini Eritrea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makanisa na misikiti mjini Asmara.
Takwimu za dini nchini Eritrea
U.S Department of State 2011[1] Pew Research 2009[2]
Dini Asilimia
Ukristo
  
50%
Uislamu
  
48%
Nyingine
  
2%
Dini Asilimia
Ukristo
  
63%
Uislamu
  
36%
Nyingine
  
1%

Dini nchini Eritrea hasa ni Dini za Abrahamu. Tangu Mei 2002, serikali ya Eritrea imetambua rasmi Kanisa la Kiorthodoksi la Eritrea (Tewahedo), Kanisa Katoliki la Eritrea, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri na Uislamu tu.

Imani na madhehebu mengine yote yanatakiwa kufuata mchakato wa usajili; lakini yale ambayo yanajulikana kama ni madhehebu ya kawaida na yapo duniani, basi hayana haja ya kujisajili.[3]

Miongoni mwa mambo mengine ni pamoja na muundo wa serikali kutaka kuwasilisha nyaraka binafsi za wanachama wa kikundi cha dini ili waruhusiwe kuabudu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Eritrea. U.S. State Department. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-05-13. Iliwekwa mnamo 2022-04-08.
  2. Mapping the Global Muslim Population Archived 19 Juni 2018 at the Wayback Machine.. Pew Research. October 2009
  3. Fisher, Jonah. "Religious persecution in Eritrea", BBC News, 17 September 2004. Retrieved on 11 December 2009. 
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.