Dina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dina alipotekwa, kadiri ya James Tissot.

Dina katika Biblia ya Kiebrania alikuwa binti wa Yakobo Israeli, babu wa Waisraeli, na Lea, mke wake wa kwanza.

Sehemu ya magombano kwa Shekemu, mtoto wa kiume wa Kanaani au Viongozi wa Wahivi, ilifuatana na kisasi kutoka kwa kaka zake Dina Simeoni na Lawi dhidi ya ubakaji wa Dina unaosimuliwa katika kitabu cha Mwanzo sura ya 34.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dina kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.