Nenda kwa yaliyomo

Diezani Alison-Madueke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diezani K. Agama (alizaliwa 6 Desemba 1960) ni mwanasiasa wa Nigeria ambaye alikuwa rais wa kwanza mwanamke wa OPEC.[1]

Aliteuliwa kuwa waziri wa uchukuzi wa Nigeria mnamo 26 Julai 2007. Alihamishwa kwenda sekta ya Migodi na Maendeleo mnamo 2008,[2] na Aprili 2010 aliteuliwa kuwa Waziri wa kwanza mwanamke wa rasilimali za petroli nchini Nigeria.[3]Pia alichaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa OPEC katika mkutano wa 166 huko Vienna mnamo 27 Novemba 2014.[4]

  1. "Alison-Madueke elected OPEC President". Vanguard. 2014-11-27. Iliwekwa mnamo 2020-05-30.
  2. Ezea, Samson (2015-01-03). "Diezani Alison-Madueke's Journey to Political Limelight". The Guardian. Iliwekwa mnamo 2024-08-15.
  3. "Diezani Alison-Madueke scored another firs". Vanguard. 2014-12-02. Iliwekwa mnamo 2020-05-30.
  4. "Nigerian Minister Becomes 1st OPEC Female President". NUJEurope. 2014-11-27. Iliwekwa mnamo 2014-11-28.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diezani Alison-Madueke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.