Dieter Herzog
Mandhari
| Dieter Herzog | |
| Amezaliwa | 15 Julai 1946 Oberhausen, North Rhine, Ujerumani |
|---|---|
| Amekufa | 19 Novemba 2025 (umri 79) |
| Nchi | Ujerumani |
| Urefu | 1.73 m |
Dieter Herzog (15 Julai 1946 – 19 Novemba 2025) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ujerumani aliyecheza nafasi ya winga.[1]
Kazi ya soka
[hariri | hariri chanzo]Herzog alicheza jumla ya mechi 360 na kufunga mabao 46 akiwa na klabu za Fortuna Düsseldorf na Bayer Leverkusen katika Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) na Ligi Daraja la Pili (2. Bundesliga).[2]
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Aliitumikia timu ya taifa ya Ujerumani Magharibi katika mechi tano, na alikuwa sehemu ya kikosi kilichotwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la FIFA mwaka 1974.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lußem, Frank (21 Novemba 2025). "Leise, lustig, listig: Zum Tod von Dieter Herzog". Kicker. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dieter Herzog". fussballdaten.de. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2026.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dieter Herzog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |