Nenda kwa yaliyomo

Dieter Eilts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dieter Eilts (alizaliwa 13 Desemba 1964) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Ujerumani aliyekuwa akicheza kama kiungo mkabaji.

Baada ya kustaafu kucheza, alianza kazi ya ukocha na pia alifanya kazi katika klabu ya SV Werder Bremen kama mkurugenzi wa akademi ya mpira wa miguu.[1][2]

  1. "Deutscher Supercup, 1993, Finale". dfb.de. Iliwekwa mnamo 5 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Deutscher Supercup, 1994, Finale". dfb.de. Iliwekwa mnamo 5 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dieter Eilts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.