Nenda kwa yaliyomo

Diego Padrón

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diego Rafael Padrón Sánchez (alizaliwa 17 Mei 1939) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Venezuela ambaye aliwahi kuwa Askofu Mkuu wa Cumaná kuanzia mwaka 2002 hadi 2018. Padrón pia aliwahi kuwa rais wa Baraza la Maaskofu wa Venezuela kuanzia mwaka 2012 hadi 2018.

Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 30 Septemba 2023.[1]

  1. Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la LXXXII. 1990. uk. 469. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2023.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.