Nenda kwa yaliyomo

Diego Natale Bona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diego Natale Bona (11 Desemba 192629 Aprili 2017) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Alipadrishwa mwaka 1950, kisha akahudumu kama askofu wa Jimbo la Porto-Santa Rufina, Italia, kutoka 1985 hadi 1994. Baadaye alihudumu kama askofu wa Jimbo la Saluzzo kutoka 1994 hadi 2003.[1]

  1. Diocese of Saluzzo
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.