Diego Llorente
Mandhari
Diego Javier Llorente Ríos (amezaliwa 16 Agosti, 1993) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Real Betis.
Akiwa amekuzwa katika akademi ya Real Madrid CF, ambayo pia ilimtoa kwa mkopo mara mbili kwa klabu za La Liga, baadaye alisaini na Real Sociedad Juni 2017. Miaka mitatu baadaye alijiunga na Leeds United.
Llorente alicheza kwa mara ya kwanza kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya Hispania mwaka 2016, na alikuwa sehemu ya kikosi kilichoshiriki UEFA Euro 2020.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ López, Ángel (2 Juni 2017). "El perfil/Llorente, bautizado en la selección junto a Oyarzabal" [The profile/Llorente, baptized in the national team alongside Oyarzabal]. Mundo Deportivo (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 7 Novemba 2021.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Pérez, Nacho (25 Agosti 2012). "Empate para abrir la temporada" [Draw to kickstart season] (kwa Kihispania). Fútbol Asturiano. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Diego Llorente kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |