Diego López
Mandhari
Diego López Rodríguez (amezaliwa 3 Novemba, 1981) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye alicheza kama golikipa.
Baada ya kutumia miaka saba akiwa na Real Madrid CF akicheza katika timu zake mbalimbali, alijitokeza zaidi katika La Liga akiwa na [[Villarreal CF, ambapo alicheza mechi 230 za mashindano rasmi katika kipindi cha misimu mitano.
Mwaka 2013, baada ya muda mfupi akiwa na Sevilla FC alirejea tena Real Madrid.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Molero, Iván (3 Novemba 2021). "Diego López: 40 años, 40 paradas" [Diego López: 40 years, 40 saves]. Diario AS (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2 Januari 2024.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Armas González, Pedro (6 Machi 2018). "Diego López, el gallego que frenó a Leo Messi" [Diego López, the Galician who stopped Leo Messi] (kwa Kihispania). Vavel. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Diego López kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |