Nenda kwa yaliyomo

Diego Demme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diego Demme (amezaliwa 21 Novemba 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo mkabaji.

Kwa sasa anachezea klabu ya Hertha BSC inayoshiriki katika ligi ya 2. Bundesliga na pia anaichezea timu ya taifa ya Ujeruman.[1]

  1. "DEMME, FORT UND BOLLMANN: Arminia hat Angst vorm SC Plünderborn!" (kwa Kijerumani). Bild.de. 12 Mei 2011. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diego Demme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.