Dickson Chilongani
Mandhari
Dickson Chilongani amekuwa Askofu wa dayosisi ya Central Tanganyika tangu kuwekewa mikono kuwa Askofu katika Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu, Dodoma, tarehe 23 Novemba 2014.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |