Diarmaid
Mandhari
Diarmaid (pia: Diermit, Dhiarmuit, Dermod, Diermedus, Diermetus, Diermitius, Diermitius; alifariki Inis Clothrann, 542 hivi) alikuwa mmonaki padri msomi wa Ireland na abati mwanzilishi wa monasteri mbili.
Ile kubwa ya Inis Clothrann (tangu 530 hivi)[1] ndipo alipolea watu wengi kama Kieran Kijana, nayo, pamoja na shule yake, iliendelea kuwa maarufu kwa karne sita baadaye [2].
Tangu kale anaadhimishwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].
Hasa tarehe 10 Januari ndiyo sikukuu yake.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Grattan-Flood, William. "St. Diarmaid." The Catholic Encyclopedia Vol. 4. New York: Robert Appleton Company, 1908. 13 Oct. 2021
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/99985
- ↑ "Saint Diarmaid the Just". New Catholic Dictionary CatholicSaints.Info. 21 October 2012
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |