Nenda kwa yaliyomo

Diane Venora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diane Venora
binadamu
Taarifa za jumla
Jinsiakike Hariri
Nchi ya uraiaMarekani Hariri
Jina halisiDiane Hariri
Jina la familiaVenora Hariri
Tarehe ya kuzaliwa10 Agosti 1952 Hariri
Mahali alipozaliwaEast Hartford Hariri
MwenziAndrzej Bartkowiak Hariri
Lugha ya asiliKiingereza Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Lugha anayoandikiaKiingereza Hariri
Kazimwigizaji, stage actor, television actor, film actor Hariri
TaalumaMaigizo Hariri
AlisomaJuilliard School, Boston Conservatory at Berklee, East Hartford High School Hariri
Muda wa kazi1981 Hariri

Diane Venora (amezaliwa 10 Agosti 1952) ni mwigizaji wa filamu, mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Alisomea katika Skuli ya Juilliard na kuanza kuigiza filamu mwaka 1981 kupitia Wolfen. Alishinda tuzo ya New York Film Critics Circle Award kama mwigizaji msaidizi katika filamu ya Bird (1988). Filamu nyingine alizoshiriki ni pamoja na The Cotton Club (1984), Ironweed (1987), Heat (1995), Romeo + Juliet (1996), The Jackal (1997), The Insider (1999), na Hamlet (2000).

[1] [2]

  1. ↑ "Venora. Robert P. Venora, Sr". Hartford Courant. Februari 23, 1997. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 13, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Lang, Steven (Desemba 8, 1997). "Second Act: Having Once Left Acting to Care for Her Daughter, Diane Venora Takes a Run at Stardom in The Jackal". People. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 4, 2016. Iliwekwa mnamo Aprili 20, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diane Venora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.