Nenda kwa yaliyomo

Diane Mizumi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diane Mizumi Mwinga alichaguliwa kuwa Malkia wa Kongo (Kinshasa) mwaka 2006 akiwa na umri wa miaka 23 katika Hoteli Kuu ya Kinshasa. Alizaliwa tarehe 4 Machi 1983 na alikulia Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Yeye ni mwanafunzi wa mawasiliano. Mizumi ni binti wa Willy Mizumi na Marie-Grégoire Tambil.

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]
    Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Diane Mizumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.