Nenda kwa yaliyomo

Diane Awerbuck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diane Awerbuck

Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Kazi yake mwandishi wa riwaya

Diane Awerbuck ni mwandishi wa riwaya kutoka Afrika Kusini.

Riwaya yake ya Gardening at Night ilishinda tuzo uandishi ya Commonwealth Writers' Prize mnamo mwaka 2004 na kutajwa kua kitabu cha kwanza bora Afrika an Carribean, pia kitabu hichi kilitajwa kwenye tuzo ya International Dublin Literary Award. Mwaka 2011 katika makusanyo yake ya hadithi fupi, Cabin Fever, kilichapishwa na Random House Struik.[1] Riwaya yake ya Home Remedies, kilichapishwa na Random House Struik mwezi Agosti mwaka 2012.[2] Alitajwa katika tuzo ya Caine Prize mnamo mwaka 2014, na alishinda mashindano ya Short Story Day Africa mwaka huo huo.[3]

Alifundisha shule ya Rustenburg Girls' High School mpaka mwaka 2002.[4] Kabla alifanya kazi Cedar House kama mwalimu wa historia.[5]

Insha na hadithi fupi zake zinachapishwa mara kwa mara na kazi zake zinatafsiriwa kwenda lugha ya Kijerumani, Kiswidi na Kirusi.[6]

Kazi zake

[hariri | hariri chanzo]
 • Gardening at night, Secker & Warburg, 2003, ISBN|978-0-436-20610-8
 • Home Remedies, Umuzi / Random House Struik, 2012, ISBN|978-1-4152-0144-2

Hadithi fupi

[hariri | hariri chanzo]
 • Cabin Fever, Umuzi / Random House Struik, 2011, ISBN|978-1-4152-0111-4

Kama mwandishi

[hariri | hariri chanzo]
 • Commissioning Editor of Anthology, 'The Ghost-Easter and Other Stories', Umuzi Cape Town, 2013, E-Pub 978-1-4152-0568-6

Mahojiano

[hariri | hariri chanzo]
 • Aerodrome mahojiano na Jennifer Malec, Jennifer Malec, (2013).[7]
 1. Randomstruik.co.za Archived 9 Septemba 2012 at Archive.today
 2. Randomstruik.co.za
 3. Jennifer (21 Novemba 2014). "Diane Awerbuck's winning story from the new SSDA anthology, Terra Incognita, and a cover reveal!". Books Live. Iliwekwa mnamo 2 Desemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
 4. Vintage-books.co.uk
 5. "Interview with Diane Awerbuck". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-06. Iliwekwa mnamo 2021-04-17.
 6. Short Story Day Africa Archived 6 Oktoba 2014 at the Wayback Machine
 7. Malec, Jennifer. "Aerodrome video with Diane Awerbuck". YouTube. Aerodrome. Iliwekwa mnamo 19 Septemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diane Awerbuck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.