Nenda kwa yaliyomo

Diana Sigei Chepkemoi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diana Sigei Chepkemoi (alizaliwa 14 Oktoba 1987) ni Mwanariadha mbiofundi wa Kenya wa mbio za muda mrefu, akishiriki katika marathons na half marathons..[1]

Chepkemoi alizaliwa Kenya mwaka 1987. Mume wake, Henry, na nduguye, Salim Kipsang, wote ni mbiofundi. Wana mtoto mmoja wa kiume na wanaishi Eldoret. Kocha wake ni Patrick Sang, mbiofundi wa zamani wa Kenya. Chepkemoi ndiye mwanamke pekee anayefanya mazoezi katika kikundi huko Kaptagat, karibu na Bonde Kuu la Ufa (Great Rift Valley), Kenya.[2]

  1. Diana Sepei Chepkemoi Ilihifadhiwa 4 Februari 2016 kwenye Wayback Machine., BAA.org, 2013, Retrieved 3 February 2016
  2. Diana Sigei, ARRS, Retrieved 3 February 2016
Makala hii kuhusu mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diana Sigei Chepkemoi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.