Nenda kwa yaliyomo

Devyn Nekoda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Devyn Nekoda (amezaliwa 12 Desemba, 2000) ni mwigizaji na mcheza densi wa Kanada. Ameonekana katika vipindi vingi vya televisheni tangu akiwa mdogo, na alionekana katika filamu ya kutisha ya mauaji Scream VI ya mwaka 2023.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Nekoda alilelewa karibu na Brantford, Ontario, ambako alisoma shule. Alisomea dansi, sanaa za sarakasi na mazoezi ya viungo, na pia alicheza soka. Alianza kucheza dansi akiwa na umri wa miaka miwili huko Simcoe, Ontario. Ana asili ya Kiwelisi/ Kiingereza na Kijapani.

Akiwa mwigizaji na mcheza densi mtoto, alionekana katika 'Utopia Falls' na 'Backstage (Canadian TV series)'.[1][2]

  1. ↑ Echebiri, Chike (Machi 10, 2023). "Scream VI' Cast and Character Guide: Who's Who in the Slasher Sequel". Collider. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 10, 2023. Iliwekwa mnamo Machi 10, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Emlyn Travis, Teri Hatcher is a writer searching for her merry meet-cute in How to Fall in Love by the Holidays trailer. Entertainment Weekly, October 31st, 2023.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Devyn Nekoda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.