Desmond Elliot
Mandhari
Desmond Oluwashola Elliot (alizaliwa 4 Februari 1974) ni mwigizaji wa Nigeria, mwongozaji wa filamu na mwanasiasa.[1][2] Alichaguliwa kama mbunge wa Bunge la Jimbo la Lagos katika uchaguzi wa mwaka 2015,. Elliot alikuwa balozi wa Mradi wa Face of Hope, shirika lisilo la faida la kupambana na kutojua kusoma na kuandika miongoni mwa vijana wa Nigeria.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Desmond Elliot's Rebound Premieres in America". Lagos, Nigeria: National Daily Newspaper. Iliwekwa mnamo 31 Julai 2010.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Njoku, Benjamin (19 Februari 2010). "Desmond Elliot for Face of Hope". AllAfrica Global Media. Lagos, Nigeria. Iliwekwa mnamo 1 Desemba 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)