Nenda kwa yaliyomo

Deryck Whibley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Deryck Jason Whibley[1](alizaliwa Machi 21, 1980),[2]Anajulikana kwa jina la utani Bizzy D,[3] Ni mwanamuziki kutoka Kanada, anajulikana zaidi kwa kazi yake kama mwimbaji mkuu, mpigaji gitaa la rhythm, mchezaji keyboard, mtunzi mkuu wa nyimbo, mtayarishaji, mwasisi, na mjumbe pekee wa kudumu wa bendi ya Rock muziki ya Sum 41.

  1. "American Society of Composers, Authors and Publishers". ASCAP. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 1, 2017. Iliwekwa mnamo Mei 28, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Gormley, Ian (12 Julai 2019). "Sum 41 Survive Teen Stardom, Substance Abuse and Changing Tastes to Rise Again on 'Out for Blood'". Exclaim. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Gavin Edwards (2001-09-24). "Sum 41: Teenage Rock & Roll Machine – Rolling Stone". Rollingstone.com. Iliwekwa mnamo 2019-09-15.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deryck Whibley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.