Deorwulf
Mandhari
Deorwulf (alifariki kati ya 867 na 896) alikuwa Askofu wa London katika enzi za kati.
Aliwekwa wakfu kuwa askofu kati ya mwaka 845 na 860 na alifariki kati ya 867 na 896. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Fryde, et al. Handbook of British Chronology p. 220
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |