Dentini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nafasi ya dentini kwenye muundo wa jino.

Dentini (kwa Kiingereza dentine) ni jina la aina ya mfupa wa pekee unaojenga sehemu kubwa ya jino.

Kwa kawaida hufunikwa kwa enameli ya jino upande wa kichwa cha jino (au tajino) na simiti kwenye sehemu ya kizizi cha jino.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dentini kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.