Dennis Vincent Durning
Mandhari
Dennis Durning, C.S.Sp. (18 Mei 1923 – 21 Februari 2002) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani na mwanachama wa Shirika la Roho Mtakatifu chini ya Moyo Safi wa Maria (Waspiritani - C.S.Sp.).
Alihudumu kama Askofu wa Jimbo Katoliki la Arusha kutoka mwaka 1963 hadi alipojiuzulu mwaka 1989, akiwa wa mwisho asiye Mtanzania nchini.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Dennis Durning Biography". www.arusha-archdiocese.or.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-08-07. Iliwekwa mnamo 2 Januari 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |