Nenda kwa yaliyomo

Deniz Undav

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Deniz Undav

Deniz Undav (matamshi ya Kijerumani: [ˈdɛnɪs ˈʊndaːf]; alizaliwa 19 Julai 1996) ni mchezaji wa soka wa kulipwa wa Ujerumani anayocheza kama mshambuliaji katika klabu ya Bundesliga VfB Stuttgart na timu ya taifa ya Ujerumani.

Kazi ya Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Kuanza kwa Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Undav alianza kucheza soka katika klabu ya kwao, TSV Achim, akiwa mtoto. Mwaka 2007, kocha wa vijana wa Werder Bremen, Frank Braakmann, alimchagua na kumpeleka katika akademi ya klabu hiyo baada ya kumuona akicheza kwenye mashindano ya vijana huko Achim.[1][2]

  1. https://www.bundesliga.com/en/player/deniz-undav
  2. https://www.kicker.de/deniz-undav/spieler
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deniz Undav kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.