Denise Fleming
Mandhari
Denise K. Fleming (Alizaliwa 31 Januari 1950) ni mwandishi na mtengenezaji wa vitabu vya picha vya watoto kutoka Marekani. Alizaliwa Toledo, Ohio. Alihitimu katika uchoraji (baada ya mabadiliko kutoka kwa ubunifu wa matangazo) kutoka Chuo cha Sanaa na Ubunifu cha Kendall huko Grand Rapids, Michigan.[1]