Denis Wick
Mandhari

Denis Wick (1 Juni 1931 – 12 Februari 2025) alikuwa mpiga tromboni mashuhuri wa orchestra kutoka Uingereza. Pia alikuwa mwalimu wa muziki wa ala za shaba anayeheshimiwa kimataifa na mbunifu wa vizuia sauti (mutes) na vipulizi (mouthpieces) vya ala hizo. Baada ya kustaafu mnamo 1989, alitunukiwa tuzo ya kila mwaka ya Chama cha Kimataifa cha Tromboni (International Trombone Association) na alihudumu kama rais wao kati ya 2004 na 2006. Kifo chake kilitangazwa tarehe 12 Februari 2025 kwenye deniswick.com. [1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]{{eflist}}
| Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Denis Wick kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Denis Wick". International Trombone Association (kwa American English). 17 Julai 2017. Iliwekwa mnamo 2020-04-02.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Denis Wick Remembered". Denis Wick Products Ltd. (kwa American English). 12 Februari 2025. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-02-17. Iliwekwa mnamo 2025-02-12.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Connelly, Brendon (2019-12-17). "Star Wars: the story of two must-see documentaries". Film Stories (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Septemba 2020. Iliwekwa mnamo 2020-04-02.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)