Demish Gaye
Mandhari
Demish Gaye (alizaliwa 20 Januari 1993)[1] ni mwanariadha kutoka Jamaika aliyebobea kwenye mbio za mita 400[2]. Aliiwakilisha nchi yake kwenye michuano ya dunia ya mwaka 2017 na kufika fainali. Mwaka mmoja mapema alishindana kwenye mbio za kupokezana za 4*400 kwenye michuano ya ndani ya dunia na kumaliza wa nne
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Athletics | Athlete Profile: Demish GAYE - Gold Coast 2018 Commonwealth Games (gc2018.com)
- ↑ "Demish GAYE | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-13.