Nenda kwa yaliyomo

Delvine Relin Meringor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Delvine Relin Meringor Delvine Relin Meringor (alizaliwa 1 Agosti 1992) ni mkimbiaji wa masafa marefu aliyezaliwa Kenya lakini akawa raia wa Romania na kushindana kwa nchi hiyo. Katika maisha yake ya riadha, alishiriki katika mashindano mbalimbali ikiwemo World Cross Country Championships akiwa na Kenya mwaka 2008, ambapo alimaliza nafasi ya nne katika mbio za vijana na kupata medali ya fedha kwa timu.[1] Pia alishinda Safaricom-Madoka Half Marathon mwaka 2018.[2][3]

  1. Tenea, Mihai; Klodnischi, Simona (22 Juni 2025). "Romanian long-distance runner Delvine Relin Meringor gets three-year doping suspension". Agerpres.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Jocurile Olimpice 2024: România reprezentată de două atlete de origine kenyană în proba de maraton". puterea.ro. 5 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 11 Agosti 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Delvine Meringor, the athlete born in Kenya who represents Romania, finished in 7th place in the marathon at the Olympic Games! Joan Melly dropped out". gsp.ro. 11 Agosti 2024. Iliwekwa mnamo 11 Agosti 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Delvine Relin Meringor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.